MIELEKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU NA CHA NNE KUHUSU METHALI KINZANI: UCHUNGUZI KATIKA SHULE ZA UPILI KATIKA KATA YA TOWNSHIP, KAUNTI YA KITUI; KENYA.

  • Mbusya Mutei Catherine
  • Abstract
  • Keywords
  • References
  • How to Cite This Article
  • Corresponding Author

Ukinzani ni dhana ambayo imefasiliwa kama ubishi au upinzani. Ukinzani katika methali za Kiswahili unaweza kufasiliwa kama unyume wa kimaana unaoletwa na methali ambazo ziko katika jozi moja na zinazotoa maana zilizo kinyume. Methali za Kiswahili zina maana na ili maana hiyo ijitokeze kwa namna inayofaa, kila methali inapaswa kutumika katika mazingira yanayooana na maana ya methali mahususi. Methali zina jukumu la kuonya, kusifu, kukashifu, kuelekeza, kuliwaza na kadhalika. Aidha, katika fasihi ya Kiswahili kuna jozi za methali zilizo na maana kinyume. Kwamba, methali moja inakuelekeza huku na nyingine inakupa mwelekeo unaotofautina na ule wa awali. Katika hali kama hii, mtumiaji lugha na mwanajamii kwa jumla anaweza kupatwa na utata wa mwelekeo atakaoufuata. Methali zinapotoa maana zinazopingana basi utata unaweza kujitokeza haswa ukimsemea nwanajamii methali kisha naye akutajia iliyo na maana kinyume, huenda suluhu ya mnachozungumzia ikakosekana. Hali hii ndiyo ilimsukuma mtafiti akitaka kubainisha namna wanajamii wanavyochukulia kuwepo kwa ubishi katika methali za Kiswahili, ikizingatiwa kwamba methali hizi hutumika kila mara na wanajamii katika mazungumzo, nyimbo na hata katika uandishi.


1. Abdu, M. (1978) Methali za Kiswahili: Maana na Matumizi Nairobi: Shungwaya Publishers Ltd. 2. B.W Andrzejewski, S. Pilaszewicz, W. Tyloch (1985).Literature in African Languages: Theoretical Issues and Sample Surveys. Cambridge University Press 3. Chinua, A. (1959). Things fall apart. Heinemann Ltd.Nigeria 4. Ergen, Kenneth J. (1990): 212. \"Proverbs, pragmatics, and prediction.\" 5. Felician. (2017). Kuchunguza Ujinsia na Matumizi ya Lugha katika Methali za Wakurya (Doctoral dissertation, The Open University of Tanzania). 6. Grice, H. P. (1975). \"Logic and Conversation.\"In: Cole, P. & Morgan, 1. (Eds.), Syntax and Semantics (pp. 41-58). New York: Academic Press. 7. John C.N (2011).Dokezo za Sitiari Katika Methali za Kiswahili na Kiganda (Doctoral dissertation. Makerere University). 8. Kalugia L. & Lodhi A. Y. (1980).Methali Zaidi za Kiswahili Kutoka Afrika Mashariki. Uppsala: Scandinavian Institute of African Studies. 9. Kanu A. (2014). Igbo Proverbs as Embodiments of Igbo-African Philosophy. International Journal of Humanities and Social Science Vol. 4 No.1; pg 164-168 10. King\'ei, K. G., & Ndalu, A. E. (1989). Kamusi ya methali za Kiswahili. East African Publishers. 11. Kipacha, A. (2014). Misemo katika lugha za Magari: Divai mpya? In Swahili Forum (Vol. 21). 12. Kothari, C.R. (2004) Research Methodology: Methods and Techniques (2nd edition.) New Delhi: New Age International (P) Ltd. Publishers 13. Madumulla, J. S.(1995). Proverbs and sayings. Theory and Practice. Dar es Salaam: Institute of Kiswahili Research. 14. Mazrui, A. M & Syambo, B.K. (1992).Uchambuzi wa Fasihi. Nairobi: East African Educational Publishers. 15. Mhando, P na Balisidya,N. (1976). Fasihi na sanaa za maonyesho. T.P.H. Dar es Salaam 16. Mkota, A. (2009). Kamusi ya methali: maana na matumizi. Vide-Muwa Publishers. 17. Mochiwa, Z. (1988). Mvumilivu hula mbovu. Dar es Salaam University Press. 18. Mtesigwa, G. K. (2013). Kuchunguza Matumizi ya Methali katika Jamii ya Wanyiramba (Doctoral dissertation, The Open University of Tanzania). 19. Mugenda O.M na Mugenda A.G. (2012). Research Methods Dictionary. Nairobi: Applied Research & Training services. 20. Mulokozi, M.M. (1989). Tanzu za Fasihi Simulizi. Dar es Salaam: TUKI. 21. Murithi, M.M. (2015). Uchanganuzi wa Methali za Kiswahili: Mtazamo wa Kiudenguzi (Doctoral dissertation, Kenyatta University). 22. Ngole, S. A & Honero, L.N. (2004). Fasihi ? Simulizi: Methali. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 23. Njogu, K. & Chimerah, R. (1999) Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Nairobi: Jomo Kenyatta foundation 24. Sito, P. S. (2015). Athari za mazingira katika uteuzi wa msamiati: mfano wa methali za Kiswahili zinazorejelea viumbe wa majini (Doctoral dissertation, University of Nairobi). 25. Taylor, R. (1981). Understanding the Elements of Literature. London: Macmillan 26. TUKI (2013). Kamusi ya Kiswahili sanifu. Oxford University Press: East Africa Ltd. Kenya 27. Vasquez, A.S. (1973). Art and Society. New York: Monthly Review Press. 28. Wamitila, K.W. (2001). Kamusi ya methali. Lulu za Lugha 2. Nairobi Longhorn Publishers.Vol. 2. 29. Wamitila, K.W. (2003). Kichocheo cha Fasihi Simulizi na Andishi. English Press, Nairobi. 30. Wamitila, K. W. (2008). Misingi ya uchanganuzi wa fasihi (Vol. 1). Vide-Muwa Publishers. 31. Wellek, R, W. (1949). Theory of Literature. New York: Harvest. 32. Yankah, K. (1989). The Proverb in the Context of Akan Rhetoric. New yolk: Peter Lang Publishing 33. Yankah, K. (1994). Do proverbs contradict? Wise Words, 127-41.New yolk: Peter Lang Publishing

Mbusya Mutei Catherine, Chomba Esther (2018); MIELEKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU NA CHA NNE KUHUSU METHALI KINZANI: UCHUNGUZI KATIKA SHULE ZA UPILI KATIKA KATA YA TOWNSHIP, KAUNTI YA KITUI; KENYA., Int. J. of Adv. Res., 6 (10), 1374-1381, ISSN 2320-5407. DOI URL: https://dx.doi.org/10.21474/IJAR01/7945


MBUSYA MUTEI CATHERINE


DOI:


Article DOI: 10.21474/IJAR01/7945      
DOI URL: https://dx.doi.org/10.21474/IJAR01/7945